King of the best melody, Christian
Bella amelazwa hospitalini nchini Congo DRC baada ya kuugua ghafla.
Bella aliwasili nchini humo
takriban wiki ya mbili sasa akiwa pamoja na TID ambapo tayari ameshafanya show
kadhaa nchini humo.
Muimbaji huyo wa Malaika Band,
ameweka picha katika mtandao wa Instagram akionekana amelazwa hospitalini huku
akiwa ametundikiwa drip kitendo kinachoonyesha hali yake siyo nzuri.
Hata
hivyo mpaka sasa haijajulikana ni ugonjwa gani unamsumbua msanii huyo.
No comments:
Post a Comment