Inawezekana
na wewe umekutana na picha za muigizaji Irene Paul ama wengine
wanamuita Angelina Jolie wa Bongo akiwa katika mavazi ya bibi
harusi. Mrembo huyo amefunga ndoa na mpenzi wake na kufanya sherehe kimya
kimya, sherehe ambayo ilihudhuriwa na watu wachache.
Irene
amesema hakupendelea picha za mume wake zionekane kwani hapendelei maisha yake
nje ya kazi yafahamike sana.
No comments:
Post a Comment