June 2, 2017 Mahakama Kuu Uganda
imeomba Kaburi la Mfanyabiashara maarufu nchini humo Ivan Ssemwanga ‘Don’ libomolewe kisha zitolewe fedha
zilizomwagwa na Kundi la Rich Gang wakati wa mazishi yake May
31, 2017.
Hatua hiyo inakuja baada ya Benki
Kuu ya Uganda kutoa tamko kuvitaka Vyombo vya Dola kuwachukulia hatua waliotupa
hela kwenye kaburi la Ivan Don ikiwa ni siku tatu baada ya
mazishi ya Mfanyabiashara huyo maarufu.
No comments:
Post a Comment